Safari Vest: Vesti ya Mifuko ya Kazi | MSG Tanzania
Safari Vest: Vesti ya Mifuko ya Kazi
Mavazi ya Kazi

Safari Vest: Vesti ya Mifuko ya Kazi

Dakika 3 kusomaMSG

Safari vest ni vesti yenye mifuko mingi, inayotoa nafasi ya kubeba vifaa vidogo huku ikiwa nyepesi na rahisi kuvaa. Hupendwa na mafundi, wapiga picha, watafiti, NGOs, na crew wa matukio.

Ni vazi linaloonyesha taaluma na linalofaa kwa branding ya kampuni au taasisi (logo na jina).

Material

Hutengenezwa kwa Polyester (jepesi na ya kudumu), Polycotton (imara na inayopumua), au Cotton. Mifuko mingi husaidia kubeba kalamu, simu, vifaa vidogo na noti.

Rangi

Rangi maarufu ni khaki, navy blue, black na beige. Pia huja na orange kwa kuonekana. MSG huongeza logo/jina la kampuni kwa branding.

Matumizi

Mafundi, wapiga picha, watafiti, NGOs, watalii, walinzi, na crew wa matukio. Inafaa kwa kazi za nje na za ofisini.

Matunzo

Fua kwa maji ya kawaida; epuka bleach kali kwa rangi. Pasi kwa joto la wastani. Kausha kivulini. Kagua zipu na mifuko mara kwa mara.

Branding na Customization

MSG hutengeneza vazi hili kwa branding ya kampuni yako — logo, jina na rangi zako (embroidery, screen printing, au heat transfer). Linapatikana kwa saizi S hadi 3XL pamoja na oversize. Pia tunatoa huduma ya customization kwa kupima vipimo rasmi vya mfanyakazi kwa malipo kidogo ya ziada, ili vazi likae sawa kabisa.

Bei ya Makadirio

Bei ya makadirio (kwa kila moja, kulingana na material): Polyester TSh 30,000 · Viscose TSh 40,000 · Polycotton TSh 50,000 · Cotton TSh 60,000 · Cadet TSh 70,000. Bei hutofautiana kulingana na idadi na branding/customization.

Unahitaji PPE bora kwa bei nafuu?

MSG ni mzalishaji na muuzaji wa workwear, uniforms na PPE Tanzania. Pata sampuli, ushauri na bei ya jumla.