Nyumbani › Fire Extinguisher Tanzania — MSG Monsun Specialized Garments

Fire Extinguisher Tanzania — MSG Monsun Specialized Garments

Usalama wa moto ni wajibu — si chaguo. MSG inasambaza fire extinguishers, fire blankets, fire suits, eye wash stations na vifaa vyote vya dharura ya moto Tanzania. Bidhaa zetu zinafuata viwango vya kimataifa na OSHA Tanzania.

Fire extinguisher Tanzania — MSG — MSG Tanzania
Bidhaa Zetu

BIDHAA ZINAZOPATIKANA — TANZANIA & NJE YA NCHI

Bei zote ni za kawaida. Bulk orders zinapata punguzo maalum. Delivery Tanzania nzima na nje ya nchi.

Vizima moto Tanzania — MSG Tanzania

Fire Extinguisher CO2 — 2KG

TSh 130,000/pcs

Kwa moto wa umeme na computer rooms.

Fire safety equipment Tanzania — MSG Tanzania

Fire Extinguisher CO2 — 5KG

TSh 220,000/pcs

Kwa server rooms na electrical panels kubwa.

Fire Extinguisher Powder — 4KG — MSG Tanzania

Fire Extinguisher Powder — 4KG

TSh 90,000/pcs

Dry powder ABC kwa matumizi ya kawaida.

Fire Extinguisher Powder — 6KG — MSG Tanzania

Fire Extinguisher Powder — 6KG

TSh 110,000/pcs

Kwa maeneo makubwa ya hatari.

Fire Extinguisher Powder — 9KG — MSG Tanzania

Fire Extinguisher Powder — 9KG

TSh 150,000/pcs

Kwa maghala, viwanda na factories kubwa.

Fire Suit — MSG Tanzania

Fire Suit

TSh 2,700,000/pcs

Proximity/entry fire suit. Kwa firefighters.

Fire Blanket — Kubwa — MSG Tanzania

Fire Blanket — Kubwa

TSh 60,000/pcs

Fibreglass. Kwa viwanda na welding.

Fire Blanket — Ndogo — MSG Tanzania

Fire Blanket — Ndogo

TSh 40,000/pcs

Kwa jikoni na dharura ndogo.

Eye Wash Station — MSG Tanzania

Eye Wash Station

TSh 440,000/pcs

ANSI Z358.1 compliant. 1L capacity.

Smoke Detector — MSG Tanzania

Smoke Detector

TSh 20,000/pcs

Ionization detector na alarm buzzer.

Viwanda Tunavyohudumia

TUNAJUA MAHITAJI YA KILA TASNIA

MSG ina uzoefu wa kutoa suluhisho maalum kwa viwanda tofauti Tanzania na Afrika Mashariki.

Ofisi na Biashara Viwanda (Manufacturing) Petrochemical na Gesi Hospitali na Kliniki Hoteli na Mikahawa Maghala (Warehouses) Shule na Vyuo
Maswali ya Kawaida

MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA

Una swali? Hapa majibu ya haraka. Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi moja kwa moja.

Fire extinguisher zinahitaji kupigwa chapa Tanzania?

Ndiyo. OSHA Tanzania inasimamia fire safety. Bidhaa zetu zinafuata viwango vyote.

Mnahitaji ku-service fire extinguishers mara ngapi?

Kila mwaka angalau mara moja.

Mnaweza kusambaza kwa idadi kubwa?

Ndio — tunasambaza kwa makampuni, hoteli, hospitali, na serikali.

Ninahitaji aina gani ya fire extinguisher?

CO2 kwa umeme, Powder kwa moto wa kawaida. Wasiliana nasi kwa ushauri wa bure.

Inaaminika Duniani Kote

WATEJA WETU WAKO TANZANIA NA NJE YA NCHI

MSG inasambaza workwear na PPE ndani ya Tanzania na nje ya mipaka — makampuni, NGO, hospitali na taasisi za serikali zinatumia bidhaa zetu kila siku.

🇹🇿Tanzania
🇰🇪Kenya
🇺🇬Uganda
🇷🇼Rwanda
🇨🇩Congo
🇿🇲Zambia
🇰🇲Comoros
🇧🇮Burundi
1,500+
Wateja Waliohudumika
50,000+
Watu Waliovalishwa
87+
Bidhaa Zinazopatikana
2
Matawi — DSM & Mwanza
Wateja Wanasema

IMANI ILIYOJENGWA KWA MATENDO — SIO MANENO

Hawa ni baadhi ya wateja wetu walioridhika — kutoka kampuni, hospitali, hoteli hadi taasisi za serikali Tanzania.

★★★★★

"MSG walinipa coveralls 200 kwa timu yangu ya ujenzi — ubora wa kweli, delivery haraka, na bei ya moja kwa moja. Sitaenda mahali pengine."

JM
John M.
Site Manager — Ujenzi, Dar es Salaam
★★★★★

"Tulihitaji medical scrubs kwa hospitali yetu — MSG walitutengenezea kwa rangi zetu na logo ndani ya wiki mbili. Professional kabisa."

FA
Fatuma A.
Procurement Officer — Hospitali ya Mkoa
★★★★★

"Nilijaribu suppliers wengi Dar es Salaam — MSG ndio wanaojua wanachofanya. PPE zao ni za kweli, certified, na zinadumu. Nawapendekeza bila shaka."

RK
Robert K.
Safety Officer — Kampuni ya Madini

Tayari Kuanza? Pata Quotation Yako Sasa

Jibu ndani ya masaa 2 ya kazi. Quotation ni bure kabisa. Maagizo kuanzia kipande 1.

OMBA QUOTATION BURE →
Wasiliana Nasi

TUKO KARIBU NAWE — DSM & MWANZA

Tembelea duka letu au wasiliana nasi kwa njia yoyote. Timu yetu ipo tayari kukusaidia.

🏢 Makao Makuu — Dar es Salaam

Kampendeza Street, Along JP Magufuli Road
Kilungule A, Kimara Ubungo, Dar es Salaam 16106

📞 +255 710 200 700
📞 +255 777 200 700
✉️ sales@msg.co.tz

Masaa: Jumatatu–Ijumaa 8:00–17:00 | Jumamosi 8:00–13:00

🏢 Tawi — Mwanza

Nyanza Shopping Center, Shop No. 48
Mwanza, Tanzania

📞 +255 710 200 900
📞 +255 775 200 700
✉️ mwanza@msg.co.tz

Masaa: Jumatatu–Ijumaa 8:00–17:00 | Jumamosi 8:00–13:00